MAKONDA: KUANZIA JUMATATU KILA MTU LAZIMA AVAE MASK NA BIASHARA ZOTE ZIFANYIKE KWA 'TAKE AWAY' | MALUNDE 1 BLOG

Saturday, April 18, 2020

MAKONDA: KUANZIA JUMATATU KILA MTU LAZIMA AVAE MASK NA BIASHARA ZOTE ZIFANYIKE KWA 'TAKE AWAY'

  Malunde       Saturday, April 18, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo Aprili 18, 2020 amesema, kuanzia Jumatatu, Aprili 20, 2020 kila anayekwenda sehemu ya manunuzi, lazima avae barakora na kuwataka wafanyabiashara kufanya biashara  zote kwa njia ya 'take away'.
“Anayekwenda eneo la manunuzi yotote lazima awe amevaa barakoa (mask), ununue,ukate leso, ukate kanga utaamua wewe, lakini lazima uwe umevaa


"Pia kuanzia Jumatatu biashara zote zifanyike katika mfumo wa ‘take away’ ukienda sehemu nunua ondoka, lazima pia kuwe na hatua mita mbili katika msongamano wa Watu”- Amesema RC Paul Makonda 

Amewataka wenye masoko kutumia njia mbadala wa kufanya kazi kwenye masoko yao ili kujikinga na corona


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post