BURUNDI YATANGAZA KUWA NA WAGONJWA WA CORONA KWA MARA YA KWANZA | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, April 1, 2020

BURUNDI YATANGAZA KUWA NA WAGONJWA WA CORONA KWA MARA YA KWANZA

  Malunde       Wednesday, April 1, 2020
Waziri wa afya nchini humo Thadée Ndikumana, ametangaza watu wawili ambao ni raia wa Burundi kuwa na maambukizi ya virusi vya corona.

Raia hao ambao wote ni wanaume, mmoja ana umri wa miaka 56 huku mwingine ana umri wa miaka 42, na walikuwa wanawasili kutoka Rwanda na Dubai, Waziri alisema.

Taifa la Burundi linatarariwa kuwa na uchaguzi mkuu wa rais tarehe 20 Mei Mwaka huu


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post