WAGONJWA WA CORONA NCHINI KENYA WAFIKIA 81


Waziri wa Afya nchini Kenya Mutahi Kagwe, amesema kuwa idadi ya waathirika wa Virusi vya Corona nchini humo imeongezeka na kufikia 81, baada ya wagonjwa wengine wapya 22 kuthibitishwa leo Aprili 1, 2020.


Mutahi Kagwe amesema kwamba wagonjwa 13 ni wanaume na tisa ni wanawake. Wagonjwa hao wanashirikisha Wakenya 18, raia 2 wa Pakistan na raia 2 wa Cameroon.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post