TFF, BODI YA LIGI KUU KUKUTANA KESHO KUANGALIA MUSTAKABALI WA LIGI KUTOKANA NA MLIPUKO WA VIRUSI VYA CORONA | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, March 17, 2020

TFF, BODI YA LIGI KUU KUKUTANA KESHO KUANGALIA MUSTAKABALI WA LIGI KUTOKANA NA MLIPUKO WA VIRUSI VYA CORONA

  Malunde       Tuesday, March 17, 2020
Rais wa Shirikisho la soka nchini TFF, Wallace Karia ameeleza Kamati ya Uongozi ya Bodi ya Ligi kuu kuitisha kikao cha dharura kesho siku ya Jumatano ya Machi 18, 2020.Kikao hicho kitakachoanza saa 3:00 asubuhi, kitafanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, City Center Dar es Salaam.

Ajenda kubwa katika kikao hicho ni kuangalia mustakabali wa ligi kutokana na mlipuko wa Virusi vya ugonjwa wa Corona ambao umeingia nchini.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post