CHADEMA WALIPA MILIONI 110 KUWATOA HALIMA MDEE, ESTER MATIKO NA ESTER BULAYA GEREZANI | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, March 11, 2020

CHADEMA WALIPA MILIONI 110 KUWATOA HALIMA MDEE, ESTER MATIKO NA ESTER BULAYA GEREZANI

  Malunde       Wednesday, March 11, 2020

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kimeanza mchakato wa kuwatoa gerezani mbunge wa Kawe, Halima Mdee; Esther Matiko (Tarime Mjini) na Ester Bulaya (Bunda).

Mkurugenzi wa itikadi, uenezi, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema amesema mpaka sasa wameshalipa faini ya Sh110 milioni iliyotakiwa kulipwa na wabunge hao watatu ili watoke gerezani.

Viongozi wanane wa Chadema pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Vicent Mashinji jana Jumanne Machi 10, 2020 walihukumiwa kulipa faini ya Sh350 milioni au kwenda jela miezi mitano baada ya kutiwa hatiani kwa makosa 12 kati ya 13 yaliyokuwa yanawakabili.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post