KUNYWA POMBE HAKUZUII MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA


Kumekuwa na tetesi kwamba eti ukinywa Pombe basi hutaweza kuambukizwa Virusi hatari vya Corona. 

Uvumi huo sio kweli na Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi na kuwataka watanzania wazingatie miongozo mbalimbali ya namna ya kujikinga na virusi hivyo inayotolewa na serikali.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post