ZITTO KABWE ACHUKUA FOMU KUTETEA TENA NAFASI YAKE NDANI YA CHAMA CHA ACT WAZALENDO | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, February 18, 2020

ZITTO KABWE ACHUKUA FOMU KUTETEA TENA NAFASI YAKE NDANI YA CHAMA CHA ACT WAZALENDO

  Malunde       Tuesday, February 18, 2020

Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe leo Februari 18, jijini Dar es Salaam amechukua fomu ya kuomba kugombea tena nafasi hiyo kwa muhula mwingine. Akizungumza baada ya kuchukua fomu, Zitto amesema ameamua kutetea nafasi hiyo kwa awamu ya pili baada ya kushauriana na watu mbalimbali ikiwemo familia yake.

 “Nimechukua tena fomu ya kugombea uongozi wa chama katika uchaguzi utakaofanyika katika mkutano wa chama utakaoanza Machi 14 hadi 16, 2020.”

“Mimi nimeshatumikia muhula mmoja na kwa mujibu wa Katiba yetu mihula ni miwili, kwa hiyo naomba muhula huu wa pili na wa mwisho kwa mujibu wa katiba ya ACT-Wazalendo,” amesema Zitto.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post