TIGO WAZINDUA DUKA MKOANI GEITA | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, February 18, 2020

TIGO WAZINDUA DUKA MKOANI GEITA

  Malunde       Tuesday, February 18, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel(katikati) akikata utepe kuzindua duka la mtandao wa Tigo mjini Geita.
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel (aliyevaa suti) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Uthmaan Madati, wakati wa uzinduzi wa duka la Tigo mjini Geita. 
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel (aliyevaa suti) akikata keki sambamba na wateja wa Tigo, wakati alipozinduka duka la kampuni hiyo ya mawasiliano mjini Geita. 
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel, akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua duka la Tigo mjini Geita. 
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post