Live : RAIS MAGUFULI ANAZINDUA KIPINDI CHA PILI CHA TASAF


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 17, Febuari, 2020 anazindua kipindi cha pili cha awamu ya tatu ya mpango wa Maendelo wa kunusuru Kaya masikini wa TASAF. 

Hafla inayofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere  Jijini Dsm.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post