UTABIRI WA HALI YA HEWA HATARISHI WA SIKU TANO NA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, December 24, 2019

UTABIRI WA HALI YA HEWA HATARISHI WA SIKU TANO NA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA

  Malunde       Tuesday, December 24, 2019
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza utabiri wa hali ya hewa hatarishi kwa kuwapo mvua za wastani kwa siku tano zijazo pamoja na athari zinazoweza kujitokeza.


Taarifa hiyo iliyotolewa jana Jumatatu Desemba 23, 2019 kwa umma, imeelezea maeneo yatakayoathirika na mvua hizo za wastani ni baadhi ya maeneo ya Nyanda za Juu kusini pamoja na Kusini ikiwamo Lindi na Mtwara.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post