MBUNGE MASELE ASHIRIKIANA NA WANANCHI KUCHIMBA MITARO KWA AJILI YA BOMBA LA MAJI YA ZIWA VICTORIA IBADAKULI

Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Stephen Masele (CCM) leo Jumamosi Desemba 28,2019 ameshiriki shughuli za maendeleo katika kitongoji cha Misungwi kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga ambapo ameshirikiana na wananchi kuchimba mitaro kwa ajili ya bomba la maji ya Ziwa Victoria.

Mhe. Masele ameahidi kupitia mfuko wa jimbo kuunga mkono juhudi za wananchi hao wanaojitolea ili kuharakisha zoezi hilo.

Mbunge Masele anaendelea na ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo, kuzungumza na wananchi na kusikiliza kero mbalimbali.
Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Stephen Masele akizungumza na wananchi wa Ibadakuli waliojitokeza kuchimba mitaro kwa ajili ya bomba la maji ya Ziwa Victoria katika kitongoji cha Misungwi kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga.
Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Stephen Masele akizungumza na wananchi waliojitokeza kuchimba mitaro kwa ajili ya bomba la maji ya Ziwa Victoria katika kitongoji cha Misungwi kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga.
Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Stephen Masele akiwa katika kitongoji cha Misungwi kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga.
Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Stephen Masele akishirikiana na wananchi wa Ibadakuli kuchimba mitaro kwa ajili ya bomba la maji ya Ziwa Victoria.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527