JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LASEMA LINAMSHIKILIA TITO MAGOTI KWA MAHOJIANO | MALUNDE 1 BLOG

Friday, December 20, 2019

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LASEMA LINAMSHIKILIA TITO MAGOTI KWA MAHOJIANO

  Malunde       Friday, December 20, 2019

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linamshikilia ofisa programu wa kituo cha sheria  na haki za Binadamu (LHRC), Tito  Magoti kwa mahojiano.


"Tunamshikilia Tito Magoti (26), Mkazi wa Ubungo Kibo, Afisa Programu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu ( LHRC ) pamoja na Watu wengine watatu kwa uchunguzi na mahojiano kwa tuhuma za makosa ya jinai, Tito hajatekwa ”- Amesema Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Lazaro Mambosasa.

Awali, Magoti ilidaiwa kuwa amechukuliwa na watu wasiojulikana leo mchana Ijumaa akiwa kituo cha mafuta cha Puma kilichopo Mwenge jijini Dar es Salaam


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post