MWALIMU MATATANI KWA TUHUMA YA KUMBAKA NA KUMLAWITI MWANAFUNZI WA DARASA LA 5 | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, November 20, 2019

MWALIMU MATATANI KWA TUHUMA YA KUMBAKA NA KUMLAWITI MWANAFUNZI WA DARASA LA 5

  Malunde       Wednesday, November 20, 2019

Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwanga, iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji, Zakaria Richard amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kumbaka na kumlawiti mwanafunzi mwenye miaka 10, anayesoma darasa la tano katika Shule hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Kigoma, Kamanda wa Polisi Kigoma ACP. Martin Otieno, amesema Mwalimu huyo alikabidhiwa mtoto kwa ajili ya kumfundisha tuisheni ndipo akawa anatumia fursa hiyo kumfanyia ukatili.

"Tunamshikilia huyo mwalimu kwa kumfanyia vitendio vya kikatili, kwa sababu mwanzoni alikabidhiwa na wazazi wake lkini yeye akaenda mbali zaidi, na kumbaka na kumlawiti" amesema Kamanda Ottieno

Aidha RPC Otieno amewataka Wazazi kuwa na utaratibu wa kuwakagua Watoto na kuwapa nafasi ya kuwasikiliza pindi wanapokuwa na matatizo yao.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post