Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitunukiwa Digrii ya Heshma ya Udaktari wa Falsafa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa katika ukumbi wa Chimwaga ulipo chuoni hapo Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wahitimu wa Kada
mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM mara baada ya kutunukiwa Digrii ya
Heshma ya Udaktari wa Falsafa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM Rais
Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa katika Mahafali ya 10 ya Chuo hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wahitimu wa Kada mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM mara baada ya kutunukiwa Digrii ya Heshma ya Udaktari wa Falsafa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa katika Mahafali ya 10 ya Chuo hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa Chuo
Kikuu cha Dodoma UDOM Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa wakati wa
sherehe za Mahafali ya 10 yaliyofanyika katika ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya kumbukumbu na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM Rais Mstaafu
wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa pamoja na Makamu wa Mkuu wa Chuo cha UDOM
Profesa Fausine Bee kabla ya kuanza kwa sherehe za Mahafali ya 10 ya Chuo hicho
yaliyofanyika katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu
Benjamin Mkapa kabla ya kuanza sherehe za Mahafali ya 10 ya Chuo hicho
yaliofanyika katika Ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Wahitimu wengine
wa Chuo cha Kikuu cha Dodoma UDOM wakati wakiimba wimbo wa Taifa mara baada ya
kuwasili katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
.
Mmoja ya Wahitimu wa Chuo cha Kikuu cha Dodoma UDOM akisoma kwa makini Wasifu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
katika sherehe za Mahafali ya 10 ya Chuo hicho.
Sehemu ya Wahitimu wa kada
mbalimbali wa Chuo cha Kikuu cha Dodoma UDOM wakiwa wanasubiri kutunikiwa na
Mkuu wa Chuo hicho Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa katika ukumbi
wa Chimwaga mkoani Dodoma. PICHA NA
IKULU
Social Plugin