MICHAEL WAMBURA AACHIWA HURU


Aliyekuwa Makamu wa Rais wa (TFF), Michael Wambura amebadilishiwa mashtaka na kukabiliwa na shtaka moja la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na amechiwa kwa makubaliano ya kulipa shilingi milioni 100 na laki tisa kwa awamu tano ambapo leo amelipa shilingi 20,249,531


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527