Picha : MWAKYEMBE ANOGESHA MAHAFALI YA DARASA LA SABA SHULE ZA BETHEL MISSION UBUNGO NA MSAKUZI

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe akikabidhi cheti kwa mwanafunzi Abdulkadri Shayo, wakati wa Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, leo, Septemba 8, 2019. Katika Mahafali hayo Wanafunzi 33 wa Bethel School Ubungo na 19 wa Msakuzi walikabidhiwa vyeti. Wanafunzi hao wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu darasa la saba na wenzao wa darasa hilo nchini kote Jumatano ijayo. Wapili kulia ni Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana.
Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana (Wapili kulia) akimpatia maelezo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe (kushoto) baada ya kumpokea ofisini kwake, Waziri huyo alipowasili kuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba  ya Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, jana. Katika Mahafali hayo Wanafunzi 33 wa Bethel School Ubungo na 19 wa Msakuzi walikabidhiwa vyeti. Wanafunzi hao wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu darasa la saba na wenzao wa darasa hilo nchini kote, Jumatano ijayo. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Shule hiyo Justine Sangu.Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana. akimpa kitabu cha wageni Waziri Dk. Harison Mwakyembe kwa ajili ya kusaini baada ya kuwasili.Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana (kulia) akimwongoza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe kwenda eneo la tukio, baada ya kumpokea waziri huyo alipowasili kuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya  Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, jana. Wanafunzi hao wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu darasa la saba na wenzao wa darasa hilo nchini kote, Jumatano ijayo.Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana (kulia) akimwongoza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe kwenda eneo la tukio, baada ya kumpokea waziri huyo alipowasili kuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya  Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam,jana.Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana (Kulia) akimpatia maelezo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe kabla ya kuzindua jiwe la msingi la ujenzi wa Bwalo la chakula la Wanafunzi wa Bethel International School, waziri huyo alipowasili kuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, jana.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe akizindua jiwe la msingi la ujenzi wa Bwalo la chakula la Wanafunzi wa Bethel International School, waziri huyo alipowasili kuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam,jana .Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe akizungumza baada ya kuzindua jiwe la msingi la ujenzi wa Bwalo la chakula la Wanafunzi wa Bethel International School, waziri huyo alipowasili kuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, jana .Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe akitazama eneo ambalo ujenzi wa Bwalo hilo la chakula la Wanafunzi wa Bethel International School unafanyika, waziri huyo alipowasili kuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, jana Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana (kulia) akimwongoza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe kwenda eneo la tukio la sherehe za mahafali, , baada ya kumpokea waziri huyo alipowasili kuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam,jana Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana (kulia) akimwongoza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe kwenda eneo la tukio la sherehe za mahafali, , baada ya kumpokea waziri huyo alipowasili kuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam,jana "Hawa ndiyo wahitimu wenyewe?" Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe akiuliza alipowaona wanafunzi wa darasa la saba alipowasili kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, jana  "Watoto hamjambo?" Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe akiwasalimia wanafunzi haoWanafunzi wa darasa la saba na chekechea wakimlaki kwa nyimbo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe alipowasili kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, jana Wanafunzi wa darasa la saba na Chekechea wakimlaki kwa nyimbo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe alipowasili kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, jana  Waziri Dk. Mwakyembe akifuatana na Ndugu Mshana wakati akiwasili eneo la shughuli ya mahafali hayo. Kulia ni Ndugu Sangu. Wazazi na wageni waalikwa wakishangilia wakati Waziri Dk. Mwakyembe akiwasili eneo la shughuli ya Mahafali. Wazazi na wageni waalikwa wakiwa wamesimama wakati Waziri Dk. Mwakyembe akiwasili eneo la shughuli ya Mahafali.Wanafunzi wa darasa la saba Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Bethel Mission Mbezi Msakuzi, wakiingia ukumbini tayari kwa shughuli za mahafali yao yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam,jana. Waziri Dk. Mwakyembe akiwa amesimama pamoja na meza kuu kuwalaki ukumbini wanafunzi hao.
Waziri Dk. Mwakyembe akishiriki kuimba wimbo wa Taifa mwanzoni wa shughuli za mahafali hayo.Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana akimsikiliza kwa makini Waziri Dk. Mwakyembe wakati akielezwa jambo wakati wa mahafali hayo. Baadhi ya Wazazi wakiwa kwenye mahafali hayoWanafunzi wa darasa la saba Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Bethel Mission Mbezi Msakuzi, wakitoa burudani ya wimbo wakati wamahafali yao yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam,janaWanafunzi wa darasa la saba Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Bethel Mission Mbezi Msakuzi, wakitoa burudani ya wimbo wakati wamahafali yao yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam,jana Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana akizungumzaWanafunzi wa darasa la saba Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Bethel Mission Mbezi Msakuzi, wakitoa burudani ya wimbo wakati wamahafali yao yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam,jana  Wawakilishi wa wanafunzi wa darasa la saba wakisoma risala wakati wa mahafali hayo. Wanafunzi hao wakimkabidhi risala yao waziri Dk. Mwakyembe baada ya kuisoma.Wanafunzi wa darasa la saba Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Bethel Mission Mbezi Msakuzi, wakitoa burudani ya wimbo wakati wamahafali yao yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, janaWaziri Dk. Mwakyembe na viongozi wa meza kuu wakishangilia bada ya kuvutiwa na namna wahitimu wa tarajiwa wa darasa la saba Shule za Bethel  Mission ya Ubungo Makuburi na Bethel Mission Mbezi Msakuzi, walivyokuwa wakitoa burudani ya wimbo wakati wamahafali yao yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, janaMeneja wa Bethel Mission School akitoa hotuba wakati wa mahafali hayo. Kushoto ni Waziri Dk. Mwakyembe na kulia ni Mtunza hazina wa Kanisa la International Mission Society of Seventy Adventist Church Kanda ya Afrika Mchungaji Perminar Shirima.Kiongozi wa Kanisa la International Mission Society of Seventy Adventist Church Mchungaji Bright Fue akimkaribisha Dk. Mwakyembe kuzungumza.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Mwakyembe akihyutubia kwenye mahafali hayo. Dk. Mwakyembe alionyesha kuvutiwa na wanafunzi wa darasa la saba kwa namna walivyoonyesha vipaji na weledi mkubwa katika kuzungumza kiingereza. Aliipongeza shule hiyo kwa kazi nzuri ya kueleimisha watoto huku ikijikita pia katika kuwalea vizuri kimaadili. Kutokana na kukunwa na shule hiyo aliahidi Wizara yake kutoa sh. milioni 5 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa Bwalo la wanafunzi kwenye shule ya Bethel Mission Ubungo.Waziri Dk. Mwakyembge akishauriana jambo na Kiongozi wa Kanisa la International Mission Society of Seventy Adventist Church Mchungaji Bright Fue 

KUKABIDHI VYETI KWA WAHITIMU⇓

Waziri Dk. Mwakyembe akionyesha zawaidi baada ya kukabidhiwa na Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana wakati wa mahafali hayoWaziri Dk. Mwakyembe akipokea zawaidi ya shati baada ya kukabidhiwa na Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana wakati wa mahafali hayoWaziri Dk. Mwakyembe akipokea zawaidi ya kitabu cha tiba kutoka kwa Kiongozi wa Kanisa la International Mission Society of Seventy Adventist Church Mchungaji Bright Fue Waziri Dk. Mwakenye na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa Chekechea wa Bethel Mission School Ubungo wakati wa mahafali hayoWaziri Dk. Mwakenye na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na wahitimu watarajiwa wa Darasa la saba wa Bethel Mission School Ubungo na Mbezi Msakuzi, wakati wa mahafali hayoWaziri Dk. Mwakenye akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Bethel Mission School na baadhi ya wageni waalikwa mwishoni wa shughuli za mahafali hayo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post