Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS WA ZAMANI WATUNISIA ZINE ABIDINE BEN ALI AFARIKI DUNIA UHAMISHONI


Rais wa zamani wa Tunisia, Zine Abidine ben Ali aliyeitawala nchi hiyo kwa zaidi ya miongo miwili amefariki dunia uhamishoni nchini Saudi Arabia.

 Habari hizo zimetangazwa na wakili wake. Zein Alabidini ben Ali aling'olewa madarakani kufuatia vuguvugu la wapenda demokrasia nchini humo la mwaka 2011.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com