Live : RAIS MAGUFULI ANAZINDUA RADA MBILI ZA KUONGOZEA NDEGE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli anazindua Rada mbili (2) za kuongozea ndege za Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanajaro (KIA). Hafla inayofanyika katika Uwa
nja wa Ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam .


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527