WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI LUHAGA MPINA AIVUNJA BODI YA WAKURUGENZI YA BODI YA MAZIWA TANZANIA


Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina, ametangaza kuivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Maziwa Tanzania, kuanzia leo August 22, 2019 kutokana na kutoridhishwa na utendaji wa kazi zao.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post