WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MITAMBO YA KUZALISHA UMEME CHA TSURUMI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ametembelea kiwanda cha kutengeneza Mitambo ya kuzalisha umeme cha Tsurumi kinachomilikiwa na kampuni ya Toshiba nchini Japan ikiwa ni sehemu katika ziara yake ya Kikazi ya siku Saba nchini humo.


Pichani ni Mhe.Majaliwa  akitazama chombo muhimu kinachounda  mitambo ya kuzalisha umeme wa maji na gesi (turbine).

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post