SIKILIZA HAPA NYIMBO MPYA ZA SONDA KABESHI....ZINAITWA 'SHIKU JA MHELO', 'WATOTO YATIMA' NA NAMHALA WAKULA

Ninazo hapa nyimbo za Manju/Msanii wa nyimbo za asili Sonda Kabeshi kutoka Mwasele Shinyanga Mjini anayepatikana kwa simu namba 0785009781. Sonda Kabeshi anaimba kwa Kisukuma bila kutumia vifaa vya muziki...Msikilize hapa kwenye hizi nyimbo zake tatu ikiwemo Shiku Ja mhelo, Watoto Yatima na Namhala wakula. Sikiliza hapa chini







Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527