Picha: RAIS POMBE MAGUFULI ATEMBELEA MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM LEO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametembelea na kukagua utendaji kazi wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali iliyopo karibu na Hospitali Kuu ya Taasisi ya Saratani Ocean road Jijini Dar es salaam pamoja na kuzungumza na wafanyakazi wa Ofisi hiyo.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post