NHIF ARUSHA YATOA HUDUMA ZA VIPIMO NA USHAURI WA AFYA BURE VIWANJA VYA NANENANE | MALUNDE 1 BLOG

Monday, August 5, 2019

NHIF ARUSHA YATOA HUDUMA ZA VIPIMO NA USHAURI WA AFYA BURE VIWANJA VYA NANENANE

  Malunde       Monday, August 5, 2019
Wananchi wakiwa katika banda la Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) kupata huduma za ushauri na kupima afya bure kwenye maonesho ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi maarufu Nanenane viwanja vya Taso Njiro jijini Arusha.

Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) mkoa wa Arusha,Miraj Kisile(kulia) akizungumza na mmoja wa wananchi waliofika katika banda hilo kwenye maonesho ya Nanenane Njiro jijini Arusha.


Mmoja wa wananchi waliotembelea banda la NHIF kwenye uwanja wa maonesho ya Nanenane jijini Arusha akipewa ushauri baada ya kupima afya bure.


Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) mkoa wa Arusha,Miraj Kisile(kulia) akizungumza na wananchi waliotembelea maonesho ya Nanenane na kufika katika banda hilo kwaajili ya kufahamu shughuli za mfuko huo na kupima afya bure.


Mmoja wa wananchi waliofika kwenye banda la NHIF kwenye viwanja vya maonesho ya Nanenane mkoa wa Arusha akifurahia maelezo yanayohusu sekta ya afya.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post