RAIS MAGUFULI: HATUCHAGUI MALAIKA.....UKITAKA KUCHAGUA MALAIKA KUFA NENDA MBINGUNI UTAWAKUTA | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, July 18, 2019

RAIS MAGUFULI: HATUCHAGUI MALAIKA.....UKITAKA KUCHAGUA MALAIKA KUFA NENDA MBINGUNI UTAWAKUTA

  Malunde       Thursday, July 18, 2019

Rais Magufuli amesema kutokana na kazi aliyoifanya Mbunge wa Kongwa, Spika Job Ndugai atashangaa kuona watu hawatampigia makofi.


Rais Magufuli amesema kuwa hatuchagui malaika na mtu akitaka kuchagua malaika afe aende mbinguni atawakuta Malaika huko

“Kutokana na kazi nzuri anayofanya spika huyu nitashangaa sana kama hamtamshangilia makofi mengi hatuchagui malaika na akitaka mtu kuchagua malaika kufa nenda ,mbinguni utawakuta malaika huko lakini kwa binadamu nawaaambia kwa maendeleo yenu huyu amesaidia Taifa, ” amesema Rais Magufuli leo akiwa Kongwa jijini Dodoma.
 
Msikilize hapo chini


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post