Picha : MREMBO DAYANA ANTHONY ATANGAZWA MSHINDI SHINDANO LA MISS SIMIYU 2019


Miss Simiyu 2019,Dayana Anthony 
Mrembo Dayana Anthony kutoka wilaya ya Meatu, amekuwa mshindi katika Shindano la Miss Simiyu mwaka 2019, lililofanyika jana Jumamosi Julai 6,2019 Mjini Bariadi na kushirikisha warembo 15. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson aliyekuwa Mgeni Rasmi akimkabidhi mrembo huyo zawadi na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka.
Top five ya Miss Simiyu 2019

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post