EFG YAANDAA MKUTANO WA KUKUSANYA MAONI KUHUSU UGAWAJI WA VITAMBULISHO VYA WAMACHINGA JIJINI MBEYA | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, July 30, 2019

EFG YAANDAA MKUTANO WA KUKUSANYA MAONI KUHUSU UGAWAJI WA VITAMBULISHO VYA WAMACHINGA JIJINI MBEYA

  Malunde       Tuesday, July 30, 2019
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Equality for Growth (EfG) Jane Magigita,  akizungumza na Watendaji na Wachuuzi wa Jiji la Mbeya katika mkutano wa kukusanya maoni  yatakayosaidia kuandaa mwongozo wa ugawaji wa vitambulisho vya wamachinga jijini humo. Mkutano huo uliandaliwa na shirika hilo.
 Baadhi ya wachuuzi wa jiji la Mbeya wakiwa kwenye mkutano huo.
 Afisa Maendeleo wa Jiji la Mbeya, Vicent Msolwa akitoa mada kwenye mkutano huo.
 Madiwani na Maofisa Watendaji wa Jiji la Mbeya wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa.
 Baadhi ya wachuuzi wa jiji la Mbeya wakiwa kwenye mkutano huo.
 Ofisa Tathmini na Ufuatiliaji wa EfG, Samora Julius (katikati) akiwa kwenye mkutano huo.
 Mwezeshaji Dkt.Astronaut Bagile akitoa mada kwenye mkutano huo. 
Diwani wa Kata ya Kalobe, Ester Mjaba akizungumza.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post