Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amemwandikia barua Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU akimtaka kumuondolea zuio katika mifumo ya uhamiaji
Zitto amesema kama anaonekana ana kosa basi apelekwe Mahakamani, pia ameomba kurejeshewa Laptop na simu yake na kuombwa radhi.