TBL YASHIRIKI SIKU YA UCHANGIAJI DAMU DUNIANI 2019Kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) chini ya kampuni mama ya kimataifa ya ABInBeb, imeshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Uchangiaji Damu Duniani Juni 15,2019.

Katika maadhimisho hayo kampuni iligawa kinywaji chake pendwa kisicho na kilevi cha Gland Malt, kwa wananchi walioshiriki katika zoezi la utoaji wa damu pia wafanyakazi wake walijitolea kutoa damu.
Mratibu wa matukio wa TBL Mwanza akigawa kinywaji cha Gland Malt kwa baadhi ya wananchi waliojitokeza kuchangia damu katika viwanda cha furahisha jijini Mwanza.
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL kiwanda cha Ilala jijini Dar es Salaam wakishiriki zoezi la kujitolea kutoa damu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post