RAIS MAGUFULI AONESHA KUTORIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI TPSF | MALUNDE 1 BLOG

Friday, June 7, 2019

RAIS MAGUFULI AONESHA KUTORIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI TPSF

  Malunde       Friday, June 7, 2019
Rais Magufuli amesema licha ya taasisi ya sekta binafsi Tanzania (TPSF) kuwa ya muda mrefu hana uhakika kama inawasaidia wafanyabiashara.


Kiongozi mkuu huyo wa nchi ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Juni 7, 2019 katika mkutano wake na wafanyabiashara kutoka Wilaya zote nchini uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam.

Magufuli amesema kuna ujio wa wafanyabiashara kutoka nje ya nchi lakini hajaona matokeo ya ujio wao tangu waanze kutembelea nchini.

Amesema baadhi ya wafanyabishara wanasema TPSF ni jukwaa la kuwakandamiza  na kuwatengeneza kundi la watu wanaojitiita wawakilishi wakati sivyo.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post