VIKOSI MAALUM VIKIONGOZWA NA KAMISHNA OPERESHENI NA MAFUNZO YA JESHI LA POLISI CP LIBERATUS SABAS, WAFANYA OPERESHENI MAPANGO YA AMBONI MKOANI TANGA | MALUNDE 1 BLOG

Monday, May 27, 2019

VIKOSI MAALUM VIKIONGOZWA NA KAMISHNA OPERESHENI NA MAFUNZO YA JESHI LA POLISI CP LIBERATUS SABAS, WAFANYA OPERESHENI MAPANGO YA AMBONI MKOANI TANGA

  Malunde       Monday, May 27, 2019
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, ameongoza Vikosi Maalum ya Kupambana na Uhalifu katika Operesheni iliyofanyika maeneo yote ya Mapango ya Amboni Jijini Tanga juzi baada ya kupata taarifa kutoka kwa raia wema kuwa kumeonekana baadhi ya watu wasiofahamika na baadhi yao ni wahalifu waliokuwepo kipindi cha nyuma ambao wengi wao walishakaatwa na Jeshi la Polisi na mwisho amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano na taarifa katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama. (Picha na Jeshi la Polisi).


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post