NAIBU WAZIRI: ASKARI POLISI ANA MAMLAKA YA KUSIMAMISHA, KUKAGUA NA KUKAMATA CHOMBO BARABARANI


Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,imesema Sheria ya Usalama Barabarani sura ya 168 iliyorejewa 2002 inampa Mamlaka askari polisi kusimamisha chombo chochote barabarani na kukikagua na hatimaye kukizuia na kukikamata.

Hayo yameelezwa Leo Mei 20 Bungeni na Naibu Waziri wa Wizara hiyo,Hamadi Masauni wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum,Rehema Juma Migilla (CUF).

Katika swali lake,Migilla alitaka kujua ni kwanini askari polisi wanapowakamata huchukua baadhi ya vifaa.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527