Sikiliza : MABISHANO KATI YA MASELE NA NDUGAI LEO BUNGENI...AANIKA UKWELI KWA WATANZANIA | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, May 23, 2019

Sikiliza : MABISHANO KATI YA MASELE NA NDUGAI LEO BUNGENI...AANIKA UKWELI KWA WATANZANIA

  Malunde       Thursday, May 23, 2019

Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele leo tarehe 23 Mei 2019 ambaye ni Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP), ameshutumu mawasiliano ya Spika Ndugai na Roger Nkodo Dang, Rais wa Bunge la Afrika (PAP) kwamba, yalikuwa na malengo hasi kwake na nafasi yake ya umakamu wa rais wa PAP.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post