SALAH AFUNGA BAO ZURI LIVERPOOL YASHINDA 3-1 NA KUREJEA KILELENI ENGLAND | MALUNDE 1 BLOG

Saturday, April 6, 2019

SALAH AFUNGA BAO ZURI LIVERPOOL YASHINDA 3-1 NA KUREJEA KILELENI ENGLAND

  Malunde       Saturday, April 6, 2019
Mohamed Salah akishangilia na Andy Robertson (kulia) baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 80 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Southampton usiku wa Ijumaa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St Mary's. 

Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Naby Keita dakika ya 36 na Jordan Henderson dakika ya 86 wakati la Southampton limefungwa na Shane Long dakika ya tisa na kwa ushindi huo Wekundu hao wa Anfield wanafikisha pointi 82 katika mchezo wa 33 na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu, sasa wakiizidi pointi mbili Manchester City ambao hata hivyo ina mchezo mmohja mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post