Monday, April 8, 2019

BENKI YA NMB KANDA YA KASKAZINI ILIVYOSHIRIKI MBIO ZA KUMUENZI WAZIRI MKUU WA ZAMANI EDWARD SOKOINE

  Malunde       Monday, April 8, 2019

Wafanyakazi wa benki ya NMB Kanda ya Kaskazini wakishiriki mbio za kilometa tano za kumbukumbu ya Sokoine jijini Arusha. 
Maofisa waandamizi wa benki ya NMB Kanda ya Kaskazini wakishiriki mbio za kilometa tano za kumbukumbu ya Sokoine jijini Arusha. 
FURAHA;Wafanyakazi wa benki ya NMB Kanda ya Kaskazini wakifurahia baada ya kumaliza mbio za kilometa tano za kumbukumbu ya Sokoine jijini Arusha. 
Mmoja wa Wafanyakazi wa benki ya NMB Kanda ya Kaskazini akifurahia baada ya kumaliza mbio za kilometa tano za kumbukumbu ya  Sokoine jijini Arusha.
Meneja wa benki ya NMB Kanda ya Kaskazini,Aikansia Muro(kulia) na Meneja anayehusika na shughuli za serikali Kanda ya Kaskazini,Christabel Hiza  wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Usalama barabarani mkoa wa Arusha,Joseph Bukombe. 
Tutabaki Juu...... 

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post