TAARIFA YA TCRA KUHUSU GHARAMA ZA LESENI KWA WASAFIRISHAJI WA VIFURUSHI, VIPETO NA NYARAKA

Taarifa ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuhusu gharama za leseni kwa wasafirishaji wa vifurushi, vipeto na nyaraka.

Jana Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Atashasta Nditiye alipiga marufuku magari yote ya abiria kusafirisha vifurushi vya aina yoyote ile, pasi na kuwa kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA). 

Katika kudhibiti vitendo hivyo, waziri huyo ameagiza SUMATRA kuendesha operesheni kubaini wanaokaidi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527