SPIKA MSTAAFU ANNE MAKINDA AFUNGUA MKUTANO WA WANAWAKE


Spika Mstaafu Mh. Mama Anne Makinda akizungumza na wanawake katika mkutano wa majadiliano kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani inayofanyika Machi 8 Kila mwaka, Mkutano huo umeandaliwa na Chama cha Wanawake Wanasheria TAWLA na Shirika la OXFARM unafayika kwenye hoteli ya Protea Courtyard Upanga jijini Dar es salaam.(Picha na John Bukuku-Fullshangwe)
 
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la OXFARM Bw. Odokorach Francis akizungumza katika mkutano huo unaofanyika kwenye hoteli ya Protea Courtyard Upanga jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanawake Wanasheria TAWLA Bi. Tike Mwambipile akikmaribisha mgeni rasmi ili kuzungumza na wanachama na waalikwa wa mkutano huo na kufungua mkutano huo.
Mary Matui akizungumza
Kulia ni Mkuu wa Mipango Chama cha Wanasheria Wanawake Mary Richard kulia na Mkamiti Mgawe Ofisa Ubia wa Miradi Oxfarm wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya waalikwa wakiwa katika mkutano huo
Katikati ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mstaafu Mama Anne Makinda akiwa katika mkutano huo kulia ni Mbunge wa jimbo la Hanang Dk. Mary Nagu na kushoto ni Mkutugenzi Mtendaji wa TAWLA Bi Tike Mwambipile.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mstaafu Mama Anne Makinda akiimba wimbo maalum wa kuwahamasisha wanawake pamoja na Mbunge wa jimbo la Hanang Dk. Mary Nagu.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mstaafu Mama Anne Makinda akisalimiana na mmoja wa wanachama wa TAWLA wakati alipowasili katika mkutano huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanawasheria Wanawake Bi. Tike Mwambipile akimuongoza Spika Mstaafu wa Bunge Mama Anne Makinda wakati akiingia kwenye mkutano huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa TAWLA akiwaongoza wanawake kuimba wimbo maalum wa kuwahamasisha wanawake katika mkutano huo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mstaafu Mama Anne Makinda akizungumza na Mbunge wa Hanang Dk. Mary Nagu kushoto ni Mama Kijo Bisimba mwanaharakati.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mstaafu Mama Anne Makinda akizungumzana baadhi ya viongozi na wanachama wa Chama cha Wanasheria wanawake TAWLA wa kwanza kulia ni Mbunge wa viti maalum Chadema Bi. Suzan Lyimo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mstaafu Mama Anne Makinda akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo mara baada ya kufungua rasmi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post