WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI TANESCO WATUA RUKWA KUKAGUA MIRADI YA UMEME


Meneja wa Shirika la umeme, TANESCO mkoa wa Rukwa, Frank Chambua (kushoto), akitoa maelezo kuhusu upatikanaji wa huduma ya nishati ya umeme katika mkoa huo kwa viongozi wa bodi ya Tanesco nchini walioongozwa na makamu mwenyekiti wa bodi
hiyo, Balozi Dkt. James Nzagi, (mwenye shati ya mabaka) mara baada ya kutembelea kituo cha kupooza umeme kilichopo eneo la majengo mjini Sumbawanga. 
Meneja wa Shirika la umeme TANESCO mkoa wa Rukwa, Frank Chambua (kulia), akitoa maelezo kuhusu upatikanaji wa huduma ya nishati ya umeme katika mkoa huo kwa viongozi wa bodi ya Tanesco nchini walioongozwa na makamu mwenyekiti wa bodi
hiyo, Balozi James Nzagi, leo mara baada ya kutembelea kituo cha kupooza umeme kilichopo eneo la majengo mjini Sumbawanga. 
Mdhibiti mifumo ya umeme wa TANESCO mkoa wa
Rukwa, Halfan Seba (kulia), akitoa maelezo kuhusu uzalishaji na usambazaji wa nishati ya umeme katika mkoa huo kwa viongozi wa Bodi ya Tanesco nchini walioongozwa na Makamu mwenyekiti wa bodi hiyo, Balozi James Nzagi, leo mara baada ya kutembelea kituo hicho kilichopo eneo la majengo mjini Sumbawanga.
Mdhibiti mifumo ya umeme wa TANESCO mkoa wa
Rukwa, Halfan Seba (kulia), akitoa maelezo kuhusu uzalishaji na usambazaji wa nishati ya umeme katika mkoa huo kwa viongozi wa Bodi ya Tanesco nchini walioongozwa na Makamu mwenyekiti wa bodi hiyo, Balozi James Nzagi, leo mara baada ya kutembelea kituo hicho kilichopo eneo la majengo mjini Sumbawanga. 
Makamu mwenyekiti wa bodi ya shirika la umeme nchini (TANESCO), Balozi Dkt. James Nzagi akiambatana na wajumbe wengine wa bodi hiyo kukagua eneo lililotengwa kwa ajili ya kujengwa kwa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa mkondo KV 411 lililopo katika kata ya Malangali mjini Sumbawanga Machi 11, 2019 wakati wa ziara ya viongozi wa bodi hiyo mkoani hapa kukagua miundombinu ya Shirika ikiwa ni pamoja na kuangalia hali ya upatikanaji wa umeme.
Makamu mwenyekiti wa bodi ya shirika la umeme nchini (Tanesco), Balozi Dkt. James Nzagi (katikati), akitoa maelekezo kwa watendaji wa shirika hilo mkoa wa Rukwa mara
baada ya kutembelea kituo cha kuzalisha na kusambaza umeme cha mjini Sumbawanga wakati wa ziara ya viongozi wa bodi ya shirika hilo.
Makamu mwenyekiti wa bodi ya shirika la umeme nchini (Tanesco), Balozi Dkt. James Nzagi (kulia), akitoa maelekezo kwa watendaji wa shirika hilo mkoa wa Rukwa mara baada ya kutembelea kituo cha kuzalisha na kusambaza umeme cha mjini Sumbawanga wakati wa ziara ya viongozi wa bodi ya shirika hilo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527