Saturday, March 30, 2019

RAIS MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WAPYA 146 WA JWTZ

  Malunde       Saturday, March 30, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Dkt John Magufuli, leo Machi 30, 2019, amewatunuku Kamisheni Maofisa Wanafunzi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).Rais Magufuli amewatunuku Kamisheni katika cheo cha Luteni USU maafisa hao wanafunzi ambao idadi yao ilikua 146.

Hafla ya utunukiwaji kamisheni kwa Maafisa hao imefanyika katika viwanja wa Ikulu jijini Dar es Salaam.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post