RAIS MAGUFULI AMUAPISHA BALOZI MLOWOLA....AAGIZA MKE WAKE KUHAMISHWA KIKAZI AMFUATE MUME WAKE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo  Alhamisi March 27, 2019 amemuapisha Balozi Mteule wa Tanzania nchini Cuba, Valentino Mlowola  Ikulu jijini Dar Es Salaam.

Baada ya zoezi hilo la kumwapisha, Rais Magufuli ameagiza mke wa Balozi  huyo wa Tanzania nchini Cuba, Valentino Mlowola kama ni mtumishi wa serikali basi ahamishwe kikazi ili aambatane na mume wake wakafanye kazi pamoja na kuongeza kuwa jambo hilo sio ajabu

==>>Msikilize hapo chini


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527