RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha  Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumapili Machi 10, 2019. Kulia kwake ni 
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Kassim MajaliwaPicha na Ikulu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post