Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya siku 6 mkoa wa Shinyanga kuanzia kesho Februari 26,2019 ambapo atapokelewa Tinde katika Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.