SHUWASA YATOA KALENDA ZA 2019 KWA WAANDISHI WA HABARI MANISPAA YA SHINYANGA

Ofisa Mahusiano ya Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Mjini Shinyanga (SHUWASA), Nsianel Gelard ( wa kwanza kulia)  akimkabidhi Kalenda za mwaka 2019 kwa Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club – SPC),Kadama Malunde kwa ajili ya Waandishi wa Habari waliopo katika Manispaa ya Shinyanga katika ofisi ya SPC leo Jumanne Januari 22,2019. Kalenda hizo zimetolewa na SHUWASA na kugawiwa kwa wadau wa mamlaka hiyo.Picha na Malaki Philipo - Malunde1 blog
Kulia ni Ofisa Mahusiano ya Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Shinyanga (SHUWASA), Nsianel Gelard akimkabidhi Kalenda za mwaka 2019 Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club – SPC),Kadama Malunde
Zoezi la makabidhiano ya kalenda likiendelea. Wa kwanza kulia ni Ibrahim  Mwita kutoka SHUWASA,Wa pili kutoka kushoto ni Mweka Hazina wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club – SPC), Stella Ibengwe.

Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club – SPC), Kadama Malunde akiwa ofisini baada ya kupokea kalenda kutoka SHUWASA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527