WATANZANIA WANAOSOMA NCHINI CHINA WATAKIWA KUWA CHACHU YA MAENDELEO NCHINI


Balozi wa Tanzania nchini China Mbelwa Kairuki akizungumza katika mkutano Mkuu wa Shirikisho la Jumuiya za Wanafunzi Watanzania Wanaosoma China- TASAFIC
Balozi wa Tanzania nchini China Mbelwa Kairuki akiingia kwenye Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Jumuiya za Wanafunzi Watanzania Wanaosoma China- TASAFIC
Afisa Mwandamizi wa Ubalozi wa Tanzania, Ndg Lusekelo Gwassa- ambaye ni Kaimu-Mwambata Elimu na Mwambata wa Uchumi Ubalozi wa Tanzania nchini China akisalimia Waliohudhuria Mkutano Mkuu TASAFIC
Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Watanzania Nchini China Victoria MwanzivaAkiwa na Thomas Mwabobo Katibu wa Jumuiya ya Watanzania wanaosoma Fushun
Baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ya Shenyang wakifurahia suala mkutanoni Salma Pazi (Mwenye Miwani) na Lisa Severin
Wanafunzi Wakitanzania Wanaosoma China katika miji mbalimbali, wakisikiliza kwa umakini uwasilishwaji wa mada mbalimbali kwenye Mkutano Mkuu wa Watanzania wanaosoma China
Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Watanzania wanaosoma China akiongoza Kipindi cha Maswali na Majibu ambapo Wanafunzi Watanzania walipewa nafasi kuuliza masuala mbalimbali na kupata majibu na maelezo ya papo kwa hapo kutoka kwa Mheshimiwa Balozi
Picha ya pamoja ya Viongozi wawakilishi wa Watanzania wanaosoma Majimbo Mbalimbali China nzima Waliohudhuria mkutano mkuu wa Watanzania wanaosoma China
Makamu Mwenyekiti wa Jimbo la Henan- Ibrahim Nyanza akipokea cheti cha uwakilishi kutoka kwa Mheshimiwa Balozi Kairuki
 ***
WATANZANIA wanaosoma nchini Chini wametakiwa kuwa chachu ya maendeleo, ubunifu, kujituma na kujitolea kwa manufaa ya Taifa la Tanzania ikiwemo kuchangamkia fursa za kimaendeleo.

Hayo yalisemwa Desemba Mosi mwaka huu na Mgeni rasmi wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Jumuiya za Wanafunzi Watanzania Wanaosoma China- TASAFIC, Balozi wa Tanzania nchini China Mheshimiwa Mbelwa Kairuki ambapo aliwataka pia kutanguliza uzalendo ili kuweza kujifunza kwa umakini.

Alisema watanzania wanaosoma nchini China juu ya masuala Tambuka haswa ya Kielimu, Kiutaratibu, Kinidhamu, Fursa mbalimbali na jukumu lao la kuwa chachu ya maendeleo, ubunifu, kujituma na kujitolea kwa manufaa ya Taifa letu. 

Mkutano huu uliandaliwa na Shirikisho la Watanzania wanaosoma China na Ubalozi wa Tanzania Nchini China Ulileta pamoja Watanzania wanaosoma katika miji mbalimbali China kama Beijing,

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527