Usiku wa kuamkia leo kulifanyika tamasha la Wasafi Festival mkoani Iringa likiwa na wasanii wote wa WCB na wengine wakali kibao.
Tazama mwanzo mwisho mwa show hiyo, video kwa hisani ya Wasafi TV.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako