MBUNGE WA SIMANJIRO AIMWAGIA SIFA UJAMAA COMMUNITY RESOURCE TEAM - UCRT


Mkuu wa wilaya ya Simanjiro,Mhandisi Zephania Chaula(katikati) akifuatilia mazungumzo ya mbunge wa jimbo hilo,James Ole Millya(kushoto) na Katibu Tawala wa wilaya ya Simanjiro,Zuwena Omary. 
Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoa wa Manyara,James Ole 
Millya akizungumza kwenye mkutano wa kukabidhi Hati za Kimila kwa ajili ya malisho ya mifugo katika kijiji cha Lerumo Kata ya Ruvuremit. 
Mkuu wa wilaya ya Simanjiro,Mhandisi Zephania Chaula(kushoto) akipokea zawadi ya Ndama kutoka kwa wananchi wa Kijiji cha Lerumo. 
Mbunge wa jimbo la Simanjiro,James Ole Millya (katikati) akipokea zawadi ya Ndama kutoka kwa wananchi wa Kijiji cha Lerumo. 
Mkuu wa wilaya ya Simanjiro,Mhandisi Zephania Chaula(kushoto) akifurahia zawadi ya fimbo aliyokabidhiwa na wananchi wa Kijiji cha Lerumo Kata ya Ruvuremit baada ya kukabidhi Hati za Kimila kwa vijiji Sita. 
Kwaya ya Lerumo ikitumbuiza wakati wa mkutano huo. 
Wananchi wakifurahia baada ya Hati za kimila kukabidhiwa kwa viongozi wao. 
Mratibu wa taasisi ya Ujamaa Community Resouce Team wilaya ya Simanjiro.Edward Loure (wa pili kushoto) akipokea zawadi ya Ndama kutoka kwa wananchi wa Kijiji cha Lerumo. 
Mkuu wa wilaya ya Simanjiro,Mhandisi Zephania 
Chaula(wa pili kushoto) akikabidhi Hati ya Kimila za nyanda za malisho zilizoandaliwa na taasisi ya Ujamaa Community Resource Team(UCRT) katika mkutano uliofanyika Kijiji cha Lerumo Kata ya Ruvuremit,Hati za Kimila zilikabidhiwa kwa vijiji Sita. 
Furaha ya kukabidhiwa Hati ya Kimila . 
Kwaya ya Lerumo ikitumbuiza wakati wa mkutano huo.

Picha zote na Filbert Rweyemamu 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527