Makubwa Haya : KIJANA AFARIKI KWENYE SHINDANO LA KUFANYA MAPENZI..ROUND 7 TU KWISHA HABARI YAKEMakubwa Haya!! ndivyo unaweza kusema... Ama kweli hili ni tukio la kufungia mwaka 2018. Katika hali isiyokuwa ya kawaida Kijana aliyejulikana kwa jina la Davy amefariki dunia baada ya kufanya mapenzi na kwenda round saba mfululizo na mwanamke aliyejulikana kwa jina la Loveth nchini Nigeria.Watu hawa walibeti juu ya nani anatisha zaidi kwa kufanya mapenzi muda mrefu zaidi ,basi Davy akaweka dau la Naira 50,000 ambazo ni shilingi elfu 14 za Kenya ama laki 3 za Tanzania kwa atakayeshinda.

Shindano likaanza,round ya kwanza hadi ya sita safi kabisa..lahaula, round ya saba,kijana hoi akafariki dunia.

Isome zaidi hapa chini

A middle-aged man, simply known as Davy, has died in a popular hotel in Ikotun area of Lagos State during a sex competition with a lady identified as Loveth.

It was gathered that the late Davy had argued with Loveth on who can last longer in a sex bout.

Both claimed they were stronger and refused to admit defeat.

During the argument, Davy staked N50,000 on the condition that if Loveth defeats him during the romp, she will take the money.

Loveth agreed, moved into the hotel and booked for a chalet.

It was gathered that while the marathon sex lasted, Davy pulled through to the sixth round but Loveth was unshaken till the seventh round when he collapsed and died on top of her.

She then raised the alarm and contacted the hotel management, who handed her over to the Ikotun Police Division while the body of the deceased was deposited at an undisclosed hospital for autopsy.

Loveth was later transferred to the SCIID Panti, Yaba, where she told investigators what transpired between her and the late Davy. The fate of Loveth will depend on the outcome of the autopsy.

Source - Guardian.ng

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post