Friday, November 30, 2018

UNICEF NA WADAU WAKE WAADHIMISHA SIKU YA MTOTO DUNIANI

  Malunde       Friday, November 30, 2018

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, akiongea wakati maadhimisho ya siku ya mtoto yaliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa kwa shabaha ya kuwasaidia watoto duniani iliyoafanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. (Imeandaliwa na Robert Okanda)
Baadhi ya washiriki wakifuatilia maadhimisho ya siku ya mtoto yaliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa kwa shabaha ya kuwasaidia watoto duniani iliyoafanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. 
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Tanzania, Joel Festo akitoa neno la shukrani wakati hitimisho la maadhimisho hayo. 
Mwanafunzi wa Kidato cha pili wa Shule ya sekondari Chang'ombe, Vanessa Innocent akitoa ushuhuda wa maisha yake kwa washiriki wa maadhimisho hayo ambapo aliwaasa wazazi kuwapa nafasi watoto waishi ndoto zao badala ya kuwalazimisha wasomee zile fani wazipendazo wao. 
Mwasisi wa Taasisi ya Brigitte Alfred, Bi Brigitte Lyimo pia Mrembo wa Tanzania mwaka 2012 akitoa rai kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalim kutoa tamko kwa jamii kuhusiana na ukatili unaondelea kufanywa na baadhi ya watu katika jamii.
Msanii na Mwanamuziki Grace Matata akizungumza machache wakati wa maadhimisho hayo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma ya Maendeleo ya Jamii Peter Serukamba akizungumza na washiriki wa maadhimisho ya siku ya mtoto yaliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa kwa shabaha ya kuwasaidia watoto duniani iliyoafanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Katikati ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania, Maniza Zaman (wa pili kulia), Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Atupele Mwambene na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Tanzania, Joel Festo. 
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa Nchini la UNDP, Alvaro Rodriguez akimpongeza Mwanafunzi wa Kidato cha pili wa Shule ya sekondari Chang'ombe, Vanessa Innocent baada ya kutoa ushuhuda wa maisha yake ya kuelekea ndoto ya maisha yake. 
Sehemu ya washiriki wakifuatilia maadhimisho ya siku ya mtoto yaliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa kwa shabaha ya kuwasaidia watoto duniani iliyoafanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. 
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, akibadilisha na mawazo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma ya Maendeleo ya Jamii Peter Serukamba wakati maadhimisho ya siku ya mtoto yaliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa kwa shabaha ya kuwasaidia watoto duniani iliyoafanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. 
Baadhi ya washiriki wakifuatilia maadhimisho ya siku ya mtoto yaliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa kwa shabaha ya kuwasaidia watoto duniani iliyoafanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. 
Baadhi ya washiriki wakifuatilia maadhimisho ya siku ya mtoto yaliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa kwa shabaha ya kuwasaidia watoto duniani iliyoafanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. 
Baadhi ya washiriki wakifuatilia maadhimisho ya siku ya mtoto yaliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa kwa shabaha ya kuwasaidia watoto duniani iliyoafanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. 

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post