Monday, October 1, 2018

MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA BENKI YA CRDB, ABDULMAJID NSEKELA AANZA KAZI RASMI

  Malunde       Monday, October 1, 2018

Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kushoto) akikaribishwa na Mkurugenzi Mtendaji anayemaliza muda wake, Dkt. Charles Kimei (kulia) wakati alipowasili rasmi kazini kwa siku ya kwanza, Oktoba 1, 2018. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay na wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja, Tully Esther Mwambaba.

Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akipokea sehemu ya vitendea kazi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji anayemaliza muda wake, Dkt. Charles Kimei wakati alipowasili rasmi kazini kwa siku ya kwanza, Oktoba 1, 2018. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay.
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji anayemaliza muda wake, Dkt. Charles Kimei (wa tatu kushoto), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay, (wa pili kulia), Naibu Mkurugenzi Mtendaji (Huduma Shirikishi), Dora Ngaliga (wa pili kushoto), Kaimu Mkurugenzi Rasilimali Watu, Timoth Fasha (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja, Tully Esther Mwambaba, baada ya kuwasili rasmi kazini kwa siku ya kwanza, Oktoba 1, 2018.

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post