MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMULO


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Biharamulo kwenye ukumbi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) , Oktoba 8, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). 
Watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Biharamulo wakimsikiliza Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Oktoba 8, 2018.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.