RAIS MAGUFULI AMTEUA GUNZE KUWA MWENYEKITI WA BASATA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli leo ametangaza kumteua Habbi Gunze kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).

Uteuzi wa Gunze umeanza rasmi October 1 2018, hivyo kwa sasa Baraza la Sanaa la Taifa, limeongezewa nguvu ambapo mwenyekiti mpya ataenda kushirikiana na Katibu mtendaji wa Baraza hilo Geofrey Mungereza kuleta maendeleo katika sanaa.

Advertisement
Theme images by rion819. Powered by Blogger.